1 לַמְנַצֵּ֥חַ Kwa–mwimbaji-mkuu בִּנְגִינֹ֗ת kwa–vinanda מַשְׂכִּ֥יל maskili לְדָוִֽד׃ ya–Daudi הַאֲזִ֣ינָה Sikiliza אֱ֭לֹהִים Mungu תְּפִלָּתִ֑י maombi-yangu וְאַל־ wala–usijifiche תִּ֝תְעַלַּ֗ם usijifiche מִתְּחִנָּתִֽי׃ kutoka–dua-yangu
Kwa mwimbishaji. Na ala za uimbaji. Utenzi wa Daudi. Ee Mungu, sikiliza maombi yangu, wala usidharau hoja yangu.
2 הַקְשִׁ֣יבָה Nisikilize לִּ֣י mimi וַעֲנֵ֑נִי na–unijibu אָרִ֖יד ninatangatanga בְּשִׂיחִ֣י katika–mawazo-yangu וְאָהִֽימָה׃ na–ninaomboleza
Nisikie na unijibu. Mawazo yangu yananisumbua na nimehangaishwa
3 מִקּ֤וֹל Kwa-sababu-ya–sauti אוֹיֵ֗ב ya–adui מִפְּנֵ֣י kwa-sababu-ya עָקַ֣ת uonevu רָשָׁ֑ע wa–mwovu כִּי־ kwa-maana יָמִ֥יטוּ wananishusha עָלַ֥י juu-yangu אָ֝֗וֶן uovu וּבְאַ֥ף na–kwa-hasira יִשְׂטְמֽוּנִי׃ wananichukia
kwa sauti ya adui, kwa kukaziwa macho na waovu, kwa sababu wananiletea mateso juu yangu na kunitukana kwa hasira zao.
4 לִ֭בִּי Moyo-wangu יָחִ֣יל unateseka בְּקִרְבִּ֑י ndani-yangu וְאֵימ֥וֹת na–vitisho מָ֝֗וֶת vya–mauti נָפְל֥וּ vimeniangukia עָלָֽי׃ juu-yangu
Moyo wangu umejaa uchungu, hofu ya kifo imenishambulia.
5 יִרְאָ֣ה Hofu וָ֭רַעַד na–kutetemeka יָ֣בֹא vimeniingia בִ֑י ndani-yangu וַ֝תְּכַסֵּ֗נִי na–utisho פַּלָּצֽוּת׃ umenifunika
Woga na kutetemeka vimenizunguka, hofu kuu imenigharikisha.
6 וָאֹמַ֗ר Nikasema מִֽי־ Nani יִתֶּן־ angenipa לִּ֣י mimi אֵ֭בֶר mabawa כַּיּוֹנָ֗ה kama–njiwa אָע֥וּפָה ningeruka וְאֶשְׁכֹּֽנָה׃ na–kupumzika
Nilisema, “Laiti ningekuwa na mbawa za njiwa! Ningeruka niende mbali kupumzika.
7 הִ֭נֵּה Tazama אַרְחִ֣יק ningekimbia נְדֹ֑ד mbali אָלִ֖ין ningekaa בַּמִּדְבָּ֣ר jangwani סֶֽלָה׃ sela
Ningalitorokea mbali sana na kukaa jangwani,
8 אָחִ֣ישָׁה Ningefanya-haraka מִפְלָ֣ט kimbilio-langu לִ֑י kwangu מֵר֖וּחַ kutoka–upepo סֹעָ֣ה wa–dhoruba מִסָּֽעַר׃ kutoka–tufani
ningaliharakisha kwenda mahali pa salama, mbali na tufani kali na dhoruba.”
9 בַּלַּ֣ע Wameze אֲ֭דֹנָי Bwana פַּלַּ֣ג gawanya לְשׁוֹנָ֑ם lugha-zao כִּֽי־ kwa-maana רָאִ֨יתִי nimeona חָמָ֖ס udhalimu וְרִ֣יב na–ugomvi בָּעִֽיר׃ mjini
Ee Bwana, uwatahayarishe waovu na uwachanganyishie semi zao, maana nimeona jeuri na ugomvi mjini.
10 יוֹמָ֤ם Mchana וָלַ֗יְלָה na–usiku יְסוֹבְבֻ֥הָ wanauzunguka עַל־ juu-ya חוֹמֹתֶ֑יהָ kuta-zake וְאָ֖וֶן na–uovu וְעָמָ֣ל na–taabu בְּקִרְבָּֽהּ׃ ndani-yake
Usiku na mchana wanazunguka juu ya kuta zake, uovu na dhuluma vimo ndani yake.
11 הַוּ֥וֹת Uharibifu בְּקִרְבָּ֑הּ ndani-yake וְֽלֹא־ wala–hauondoki יָמִ֥ישׁ hauondoki מֵ֝רְחֹבָ֗הּ kutoka–uwanja-wake תֹּ֣ךְ dhuluma וּמִרְמָֽה׃ na–udanganyifu
Nguvu za uharibifu zinatenda kazi mjini, vitisho na uongo haviondoki mitaani mwake.
12 כִּ֤י Kwa-maana לֹֽא־ si אוֹיֵ֥ב adui יְחָֽרְפֵ֗נִי anayenitukana וְאֶ֫שָּׂ֥א ningevumilia לֹֽא־ si מְ֭שַׂנְאִי anayenichukia עָלַ֣י juu-yangu הִגְדִּ֑יל amejikuza וְאֶסָּתֵ֥ר ningejificha מִמֶּֽנּוּ׃ kutoka–kwake
Kama aliyenitukana ni adui yangu, ningevumilia, kama mtu mwovu angejiinua dhidi yangu, ningejificha asinione.
13 וְאַתָּ֣ה Lakini–ni–wewe אֱנ֣וֹשׁ mwanadamu כְּעֶרְכִּ֑י sawa-nami אַ֝לּוּפִ֗י kiongozi-wangu וּמְיֻדָּֽעִי׃ na–rafiki-yangu
Kumbe ni wewe, mwenzangu, mshiriki na rafiki yangu wa karibu,
14 אֲשֶׁ֣ר Ambaye יַ֭חְדָּו pamoja נַמְתִּ֣יק tulifurahia ס֑וֹד ushauri בְּבֵ֥ית katika–nyumba אֱ֝לֹהִ֗ים ya–Mungu נְהַלֵּ֥ךְ tulitembea בְּרָֽגֶשׁ׃ katika–umati
ambaye awali tulifurahia ushirika mzuri, tulipokuwa tukienda na umati hekaluni mwa Mungu.
15 [ישימות] [mauti-iwaangukie] (יַשִּׁ֤י) (mauti) (מָ֨וֶת ׀) (iwaangukie) עָלֵ֗ימוֹ juu-yao יֵרְד֣וּ washuke שְׁא֣וֹל kuzimu חַיִּ֑ים wakiwa-hai כִּֽי־ kwa-maana רָע֖וֹת uovu בִּמְגוּרָ֣ם katika–makazi-yao בְּקִרְבָּֽם׃ ndani-yao
Kifo na kiwajie adui zangu ghafula, na washuke kuzimu wangali hai, kwa maana uovu upo ndani yao.
16 אֲ֭נִי Mimi אֶל־ kwa אֱלֹהִ֣ים Mungu אֶקְרָ֑א nitaita וַ֝יהוָ֗ה na–Yahwe יוֹשִׁיעֵֽנִי׃ ataniokoa
Lakini ninamwita Mungu, naye Bwana huniokoa.
17 עֶ֤רֶב Jioni וָבֹ֣קֶר na–asubuhi וְ֭צָהֳרַיִם na–adhuhuri אָשִׂ֣יחָה nitaomba וְאֶהֱמֶ֑ה na–kuomboleza וַיִּשְׁמַ֥ע naye–atasikia קוֹלִֽי׃ sauti-yangu
Jioni, asubuhi na adhuhuri ninalia kwa huzuni, naye husikia sauti yangu.
18 פָּ֘דָ֤ה Ameikombea בְשָׁל֣וֹם kwa–amani נַ֭פְשִׁי nafsi-yangu מִקֲּרָב־ kutoka–vita לִ֑י dhidi-yangu כִּֽי־ kwa-maana בְ֝רַבִּ֗ים wengi הָי֥וּ walikuwa עִמָּדִֽי׃ dhidi-yangu
Huniokoa nikawa salama katika vita vilivyopangwa dhidi yangu, ingawa watu wengi hunipinga.
19 יִשְׁמַ֤ע ׀ Atasikia אֵ֨ל ׀ Mungu וְֽיַעֲנֵם֮ na–kuwajibu וְיֹ֤שֵׁ֥ב yeye-akaaye קֶ֗דֶם tangu-kale סֶ֥לָה sela אֲשֶׁ֤ר wale אֵ֣ין ambao-hawana חֲלִיפ֣וֹת mabadiliko לָ֑מוֹ kwao וְלֹ֖א na–hawamwogopi יָרְא֣וּ hawamwogopi אֱלֹהִֽים׃ Mungu
Mungu anayemiliki milele, atawasikia na kuwaadhibu, watu ambao hawabadilishi njia zao, wala hawana hofu ya Mungu.
20 שָׁלַ֣ח Amenyoosha יָ֭דָיו mikono-yake בִּשְׁלֹמָ֗יו dhidi-ya-rafiki-zake חִלֵּ֥ל amevunja בְּרִיתֽוֹ׃ agano-lake
Mwenzangu hushambulia rafiki zake, naye huvunja agano lake.
21 חָלְק֤וּ ׀ Laini-kuliko מַחְמָאֹ֣ת siagi פִּיו֮ ni–kinywa-chake וּֽקֲרָב־ lakini–vita לִ֫בּ֥וֹ ni–moyo-wake רַכּ֖וּ laini דְבָרָ֥יו ni–maneno-yake מִשֶּׁ֗מֶן kuliko–mafuta וְהֵ֣מָּה lakini–hayo פְתִחֽוֹת׃ ni–panga-zilizotolewa
Mazungumzo yake ni laini kama siagi, hata hivyo vita vimo moyoni mwake. Maneno yake ni mororo kuliko mafuta, hata hivyo ni upanga mkali uliofutwa.
22 הַשְׁלֵ֤ךְ Mtwike עַל־ juu-ya יְהוָ֨ה ׀ Yahwe יְהָבְךָ֮ mzigo-wako וְה֪וּא na–yeye יְכַ֫לְכְּלֶ֥ךָ atakutegemeza לֹא־ hataacha יִתֵּ֖ן hataacha לְעוֹלָ֥ם milele מ֗וֹט kutikisika לַצַּדִּֽיק׃ mwenye-haki
Mtwike Bwana fadhaa zako, naye atakutegemeza, hatamwacha kamwe mwenye haki wake aanguke.
23 וְאַתָּ֤ה Lakini–wewe אֱלֹהִ֨ים ׀ Mungu תּוֹרִדֵ֬ם ׀ utawashusha לִבְאֵ֬ר shimoni שַׁ֗חַת mwa–uharibifu אַנְשֵׁ֤י watu דָמִ֣ים wa–damu וּ֭מִרְמָה na–udanganyifu לֹא־ hawataishi יֶחֱצ֣וּ hawataishi יְמֵיהֶ֑ם nusu-ya-siku-zao וַ֝אֲנִ֗י lakini–mimi אֶבְטַח־ nitakutumaini בָּֽךְ׃ wewe
Lakini wewe, Ee Mungu, utawashusha waovu katika shimo la uharibifu. Wenye kiu ya kumwaga damu na wenye hila, hawataishi nusu ya siku zao. Lakini mimi ninakutumaini wewe.