1 שִׁ֥יר Wimbo מִזְמ֗וֹר zaburi לִבְנֵ֫י ya–wana–wa קֹ֥רַח Kora לַמְנַצֵּ֣חַ kwa–mkuu–wa–waimbaji עַל־ juu–ya מָחֲלַ֣ת Mahalathi לְעַנּ֑וֹת Leannoti מַ֝שְׂכִּ֗יל Maskili לְהֵימָ֥ן ya–Hemani הָאֶזְרָחִֽי׃ Mwezrahi יְ֭הוָה Yahwe אֱלֹהֵ֣י Mungu–wa יְשׁוּעָתִ֑י wokovu–wangu יוֹם־ mchana צָעַ֖קְתִּי nimeita בַלַּ֣יְלָה usiku נֶגְדֶּֽךָ׃ mbele–yako
Wimbo. Zaburi ya wana wa Kora. Kwa mwimbishaji. Mtindo wa mahalathi leanothi. Utenzi wa Hemani Mwezrahi. Ee Bwana, Mungu uniokoaye, nimelia mbele zako usiku na mchana.
2 תָּב֣וֹא Ifike לְ֭פָנֶיךָ mbele–yako תְּפִלָּתִ֑י maombi–yangu הַטֵּֽה־ tega אָ֝זְנְךָ֗ sikio–lako לְרִנָּתִֽי׃ kwa–kilio–changu
Maombi yangu yafike mbele zako, utegee kilio changu sikio lako.
3 כִּֽי־ Kwa–maana שָֽׂבְעָ֣ה imejaa בְרָע֣וֹת kwa–matatizo נַפְשִׁ֑י nafsi–yangu וְחַיַּ֗י na–maisha–yangu לִשְׁא֥וֹל kuzimu הִגִּֽיעוּ׃ yamefika
Kwa maana nafsi yangu imejaa taabu, na maisha yangu yanakaribia kaburi.
4 נֶ֭חְשַׁבְתִּי Nimehesabiwa עִם־ pamoja–na י֣וֹרְדֵי washukao ב֑וֹר shimoni הָ֝יִ֗יתִי nimekuwa כְּגֶ֣בֶר kama–mtu אֵֽין־ asiye–na אֱיָֽל׃ nguvu
Nimehesabiwa miongoni mwa wale waendao shimoni, niko kama mtu asiye na nguvu.
5 בַּמֵּתִ֗ים Miongoni–mwa–wafu חָ֫פְשִׁ֥י niko–huru כְּמ֤וֹ kama חֲלָלִ֨ים ׀ waliouawa שֹׁ֥כְבֵי waliolala קֶ֗בֶר kaburini אֲשֶׁ֤ר ambao לֹ֣א huwakumbuki זְכַרְתָּ֣ם hawakumbuki ע֑וֹד tena וְ֝הֵ֗מָּה na–wao מִיָּדְךָ֥ kutoka–mkono–wako נִגְזָֽרוּ׃ wamekatiliwa–mbali
Nimetengwa pamoja na wafu, kama waliochinjwa walalao kaburini, ambao huwakumbuki tena, ambao wamekatiliwa mbali na uangalizi wako.
6 שַׁ֭תַּנִי Umeniweka בְּב֣וֹר katika–shimo תַּחְתִּיּ֑וֹת la–chini–kabisa בְּ֝מַחֲשַׁכִּ֗ים katika–giza בִּמְצֹלֽוֹת׃ katika–vilindi
Umenitupa katika shimo lenye kina kirefu sana, katika vina vya giza nene.
7 עָ֭לַי Juu–yangu סָמְכָ֣ה imekaa חֲמָתֶ֑ךָ ghadhabu–yako וְכָל־ na–kwa–mawimbi מִ֝שְׁבָּרֶ֗יךָ yako–yote עִנִּ֥יתָ umenilemea סֶּֽלָה׃ Sela
Ghadhabu yako imekuwa nzito juu yangu, umenigharikisha kwa mawimbi yako yote.
8 הִרְחַ֥קְתָּ Umewaweka–mbali מְיֻדָּעַ֗י rafiki–zangu מִ֫מֶּ֥נִּי kutoka–kwangu שַׁתַּ֣נִי umenifanya תוֹעֵב֣וֹת chukizo לָ֑מוֹ kwao כָּ֝לֻ֗א nimefungwa וְלֹ֣א na–siwezi אֵצֵֽא׃ kutoka
Umenitenga na rafiki zangu wa karibu na kunifanya chukizo kwao. Nimezuiliwa, wala siwezi kutoroka;
9 עֵינִ֥י Jicho–langu דָאֲבָ֗ה limedhoofika מִנִּ֫י kwa–sababu–ya עֹ֥נִי mateso קְרָאתִ֣יךָ nimekuita יְהוָ֣ה Yahwe בְּכָל־ kila י֑וֹם siku שִׁטַּ֖חְתִּי nimekunjulia אֵלֶ֣יךָ kwako כַפָּֽי׃ mikono–yangu
nuru ya macho yangu imefifia kwa ajili ya huzuni. Ee Bwana, ninakuita kila siku, ninakunyooshea wewe mikono yangu.
10 הֲלַמֵּתִ֥ים Je–kwa–wafu תַּעֲשֶׂה־ utafanya פֶּ֑לֶא maajabu אִם־ je רְ֝פָאִ֗ים roho–za–wafu יָק֤וּמוּ ׀ zitasimama יוֹד֬וּךָ kukusifu סֶּֽלָה׃ Sela
Je, wewe huwaonyesha wafu maajabu yako? Je, wale waliokufa huinuka na kukusifu?
11 הַיְסֻפַּ֣ר Je–itasimuliwa בַּקֶּ֣בֶר kaburini חַסְדֶּ֑ךָ fadhili–yako אֱ֝מֽוּנָתְךָ֗ uaminifu–wako בָּאֲבַדּֽוֹן׃ katika–Abadoni
Je, upendo wako hutangazwa kaburini, uaminifu wako katika Uharibifu?
12 הֲיִוָּדַ֣ע Je–itajulikana בַּחֹ֣שֶׁךְ gizani פִּלְאֶ֑ךָ maajabu–yako וְ֝צִדְקָתְךָ֗ na–haki–yako בְּאֶ֣רֶץ katika–nchi–ya נְשִׁיָּֽה׃ kusahaulika
Je, maajabu yako hujulikana mahali pa giza, au matendo yako ya haki katika nchi ya usahaulifu?
13 וַאֲנִ֤י ׀ Lakini–mimi אֵלֶ֣יךָ kwako יְהוָ֣ה Yahwe שִׁוַּ֑עְתִּי nimeita וּ֝בַבֹּ֗קֶר na–asubuhi תְּֽפִלָּתִ֥י maombi–yangu תְקַדְּמֶֽךָּ׃ yatakukuta
Lakini ninakulilia wewe, Ee Bwana, unisaidie; asubuhi maombi yangu huja mbele zako.
14 לָמָ֣ה Kwa–nini יְ֭הוָה Yahwe תִּזְנַ֣ח unaikataa נַפְשִׁ֑י nafsi–yangu תַּסְתִּ֖יר unaficha פָּנֶ֣יךָ uso–wako מִמֶּֽנִּי׃ kutoka–kwangu
Ee Bwana, kwa nini unanikataa na kunificha uso wako?
15 עָ֘נִ֤י Mnyonge אֲנִ֣י mimi וְגֹוֵ֣עַ na–ninakufa מִנֹּ֑עַר tangu–ujana נָשָׂ֖אתִי nimebeba אֵמֶ֣יךָ hofu–zako אָפֽוּנָה׃ nimefadhaika
Tangu ujana wangu nimeteseka, nikakaribia kifo; nimepatwa na hofu zako, nami nimekata tamaa.
16 עָ֭לַי Juu–yangu עָבְר֣וּ zimepita חֲרוֹנֶ֑יךָ hasira–zako בִּ֝עוּתֶ֗יךָ vitisho–vyako צִמְּתוּתֻֽנִי׃ vimeniangamiza
Ghadhabu yako imepita juu yangu; hofu zako zimeniangamiza.
17 סַבּ֣וּנִי Zimenizunguka כַ֭מַּיִם kama–maji כָּל־ siku הַיּ֑וֹם yote הִקִּ֖יפוּ zimenizunguka עָלַ֣י juu–yangu יָֽחַד׃ pamoja
Mchana kutwa zinanizunguka kama mafuriko; zimenimeza kabisa.
18 הִרְחַ֣קְתָּ Umewaweka–mbali מִ֭מֶּנִּי kutoka–kwangu אֹהֵ֣ב mpendwa וָרֵ֑עַ na–rafiki מְֽיֻדָּעַ֥י wanaonijua מַחְשָֽׁךְ׃ ni–giza
Umeniondolea marafiki na wapendwa wangu; giza limekuwa ndilo rafiki yangu wa karibu kuliko wote.