1 Βίβλος Kitabu γενέσεως cha–uzazi Ἰησοῦ wa–Iēsoûs Χριστοῦ, Christós υἱοῦ mwana Δαυὶδ, wa–Daudí υἱοῦ mwana Ἀβραάμ. wa–Abraám
Habari za ukoo wa Yesu Kristo mwana wa Daudi, mwana wa Abrahamu:
2 Ἀβραὰμ Abraám ἐγέννησεν alizaa τὸν – Ἰσαάκ; Isaák Ἰσαὰκ Isaák δὲ na ἐγέννησεν alizaa τὸν – Ἰακώβ; Iakṓb Ἰακὼβ Iakṓb δὲ na ἐγέννησεν alizaa τὸν – Ἰούδαν Ioúdas καὶ na τοὺς – ἀδελφοὺς ndugu αὐτοῦ; zake
Abrahamu akamzaa Isaki, Isaki akamzaa Yakobo, Yakobo akawazaa Yuda na ndugu zake,
3 Ἰούδας Ioúdas δὲ na ἐγέννησεν alizaa τὸν – Φαρὲς Pharés καὶ na τὸν – Ζαρὰ Zará ἐκ kutoka–kwa τῆς – Θάμαρ; Thámár Φαρὲς Pharés δὲ na ἐγέννησεν alizaa τὸν – Ἑσρώμ; Hesrṓm Ἑσρὼμ Hesrṓm δὲ na ἐγέννησεν alizaa τὸν – Ἀράμ; Arám
Yuda akawazaa Peresi na Zera, ambao mama yao alikuwa Tamari, Peresi akamzaa Hesroni, Hesroni akamzaa Aramu,
4 Ἀρὰμ Arám δὲ na ἐγέννησεν alizaa τὸν – Ἀμιναδάβ; Aminadáb Ἀμιναδὰβ Aminadáb δὲ na ἐγέννησεν alizaa τὸν – Ναασσών; Naassṓn Ναασσὼν Naassṓn δὲ na ἐγέννησεν alizaa τὸν – Σαλμών; Salmṓn
Aramu akamzaa Aminadabu, Aminadabu akamzaa Nashoni, Nashoni akamzaa Salmoni,
5 Σαλμὼν Salmṓn δὲ na ἐγέννησεν alizaa τὸν – Βόες Boés ἐκ kutoka–kwa τῆς – Ῥαχάβ; Rhacháb Βόες Boés δὲ na ἐγέννησεν alizaa τὸν – Ἰωβὴδ Iōbḗd ἐκ kutoka–kwa τῆς – Ῥούθ; Rhoúth Ἰωβὴδ Iōbḗd δὲ na ἐγέννησεν alizaa τὸν – Ἰεσσαί; Iessaí
Salmoni akamzaa Boazi, na mama yake Boazi alikuwa Rahabu, Boazi akamzaa Obedi, ambaye mama yake alikuwa Ruthu, Obedi akamzaa Yese,
6 Ἰεσσαὶ Iessaí δὲ na ἐγέννησεν alizaa τὸν – Δαυὶδ Daudí τὸν – βασιλέα. mfalme Δαυὶδ Daudí δὲ na ἐγέννησεν alizaa τὸν – Σολομῶνα Solomṓn ἐκ kutoka–kwa τῆς – τοῦ mke–wa Οὐρίου; Ouríou
Yese akamzaa Daudi ambaye alikuwa mfalme. Daudi akamzaa Solomoni, ambaye mama yake ni yule aliyekuwa mke wa Uria.
7 Σολομὼν Solomṓn δὲ na ἐγέννησεν alizaa τὸν – Ῥοβοάμ; Rhoboám Ῥοβοὰμ Rhoboám δὲ na ἐγέννησεν alizaa τὸν – Ἀβιά; Abiá Ἀβιὰ Abiá δὲ na ἐγέννησεν alizaa τὸν – Ἀσάφ; Asáph
Solomoni akamzaa Rehoboamu, Rehoboamu akamzaa Abiya, Abiya akamzaa Asa,
8 Ἀσὰφ Asáph δὲ na ἐγέννησεν alizaa τὸν – Ἰωσαφάτ; Iōsaphát Ἰωσαφὰτ Iōsaphát δὲ na ἐγέννησεν alizaa τὸν – Ἰωράμ; Iōrám Ἰωρὰμ Iōrám δὲ na ἐγέννησεν alizaa τὸν – Ὀζίαν; Ozías
Asa akamzaa Yehoshafati, Yehoshafati akamzaa Yoramu, Yoramu akamzaa Uzia,
9 Ὀζίας Ozías δὲ na ἐγέννησεν alizaa τὸν – Ἰωαθάμ; Iōathám Ἰωαθὰμ Iōathám δὲ na ἐγέννησεν alizaa τὸν – Ἄχαζ; Ácház Ἄχαζ Ácház δὲ na ἐγέννησεν alizaa τὸν – Ἑζεκίαν; Hezekías
Uzia akamzaa Yothamu, Yothamu akamzaa Ahazi, Ahazi akamzaa Hezekia,
10 Ἑζεκίας Hezekías δὲ na ἐγέννησεν alizaa τὸν – Μανασσῆ; Manassḗs Μανασσῆς Manassḗs δὲ na ἐγέννησεν alizaa τὸν – Ἀμώς; Amṓs Ἀμὼς Amṓs δὲ na ἐγέννησεν alizaa τὸν – Ἰωσίαν; Iōsías
Hezekia akamzaa Manase, Manase akamzaa Amoni, Amoni akamzaa Yosia,
11 Ἰωσίας Iōsías δὲ na ἐγέννησεν alizaa τὸν – Ἰεχονίαν Iechonías καὶ na τοὺς – ἀδελφοὺς ndugu αὐτοῦ, zake ἐπὶ wakati–wa τῆς – μετοικεσίας uhamisho Βαβυλῶνος. wa–Babulṓn
wakati wa uhamisho wa Babeli, Yosia alimzaa Yekonia na ndugu zake.
12 Μετὰ Baada–ya δὲ na τὴν – μετοικεσίαν uhamisho Βαβυλῶνος, wa–Babulṓn Ἰεχονίας Iechonías ἐγέννησεν alizaa τὸν – Σαλαθιήλ; Salathiḗl Σαλαθιὴλ Salathiḗl δὲ na ἐγέννησεν alizaa τὸν – Ζοροβαβέλ; Zorobabél
Baada ya uhamisho wa Babeli: Yekonia alimzaa Shealtieli, Shealtieli akamzaa Zerubabeli,
13 Ζοροβαβὲλ Zorobabél δὲ na ἐγέννησεν alizaa τὸν – Ἀβιούδ; Abioúd Ἀβιοὺδ Abioúd δὲ na ἐγέννησεν alizaa τὸν – Ἐλιακίμ; Eliakím Ἐλιακὶμ Eliakím δὲ na ἐγέννησεν alizaa τὸν – Ἀζώρ; Azṓr
Zerubabeli akamzaa Abiudi, Abiudi akamzaa Eliakimu, Eliakimu akamzaa Azori,
14 Ἀζὼρ Azṓr δὲ na ἐγέννησεν alizaa τὸν – Σαδώκ; Sadṓk Σαδὼκ Sadṓk δὲ na ἐγέννησεν alizaa τὸν – Ἀχίμ; Achím Ἀχὶμ Achím δὲ na ἐγέννησεν alizaa τὸν – Ἐλιούδ; Elioúd
Azori akamzaa Sadoki, Sadoki akamzaa Akimu, Akimu akamzaa Eliudi,
15 Ἐλιοὺδ Elioúd δὲ na ἐγέννησεν alizaa τὸν – Ἐλεάζαρ; Eleázar Ἐλεάζαρ Eleázar δὲ na ἐγέννησεν alizaa τὸν – Ματθάν; Matthán Ματθὰν Matthán δὲ na ἐγέννησεν alizaa τὸν – Ἰακώβ; Iakṓb
Eliudi akamzaa Eleazari, Eleazari akamzaa Matani, Matani akamzaa Yakobo,
16 Ἰακὼβ Iakṓb δὲ na ἐγέννησεν alizaa τὸν – Ἰωσὴφ Iōsḗph τὸν – ἄνδρα mume Μαρίας, wa–María ἐξ ambaye–kutoka–kwake ἧς yeye ἐγεννήθη alizaliwa Ἰησοῦς, Iēsoûs ὁ – λεγόμενος aitwaye Χριστός. Christós
naye Yakobo akamzaa Yosefu ambaye alikuwa mumewe Maria, mama yake Yesu, aitwaye Kristo.
17 Πᾶσαι Zote οὖν basi αἱ – γενεαὶ vizazi ἀπὸ kutoka Ἀβραὰμ Abraám ἕως hadi Δαυὶδ Daudí γενεαὶ vizazi δεκατέσσαρες; kumi–na–nne καὶ na ἀπὸ kutoka Δαυὶδ Daudí ἕως hadi τῆς – μετοικεσίας uhamisho Βαβυλῶνος, wa–Babulṓn γενεαὶ vizazi δεκατέσσαρες; kumi–na–nne καὶ na ἀπὸ kutoka τῆς – μετοικεσίας uhamisho Βαβυλῶνος wa–Babulṓn ἕως hadi τοῦ – Χριστοῦ, Christós γενεαὶ vizazi δεκατέσσαρες. kumi–na–nne
Hivyo, kulikuwepo na jumla ya vizazi kumi na vinne tangu Abrahamu mpaka Daudi, vizazi kumi na vinne tangu Daudi hadi wakati wa uhamisho kwenda utumwani Babeli, na vizazi kumi na vinne tangu wakati wa uhamisho kwenda utumwani Babeli hadi Kristo.
18 Τοῦ – δὲ Na Ἰησοῦ wa–Iēsoûs Χριστοῦ Christós ἡ – γένεσις kuzaliwa οὕτως hivi ἦν. kulikuwa μνηστευθείσης alipokuwa–amechumbiwa τῆς – μητρὸς mama αὐτοῦ yake Μαρίας María τῷ kwa Ἰωσήφ, Iōsḗph πρὶν kabla ἢ ya συνελθεῖν kukutana αὐτοὺς, wao εὑρέθη alipatikana ἐν katika γαστρὶ tumbo ἔχουσα akiwa–na–mimba ἐκ kutoka–kwa πνεύματος Roho ἁγίου. Mtakatifu
Basi Kuzaliwa kwake Yesu Kristo kulikuwa hivi: Maria mama yake alikuwa ameposwa na Yosefu, lakini kabla hawajakutana kimwili, Maria alionekana kuwa na mimba kwa uweza wa Roho Mtakatifu.
19 Ἰωσὴφ Iōsḗph δὲ, na ὁ – ἀνὴρ mume αὐτῆς, wake δίκαιος mwenye–haki ὢν, akiwa καὶ na μὴ si θέλων akitaka αὐτὴν yeye δειγματίσαι, kumwaibisha ἐβουλήθη alikusudia λάθρᾳ kwa–siri ἀπολῦσαι kumwacha αὐτήν. yeye
Kwa kuwa Yosefu, mwanaume aliyekuwa amemposa alikuwa mtu mwadilifu, hakutaka kumwaibisha Maria hadharani, aliazimu kumwacha kwa siri.
20 ταῦτα mambo–haya δὲ lakini αὐτοῦ yeye ἐνθυμηθέντος, alipoyafikiri ἰδοὺ, tazama ἄγγελος malaika Κυρίου wa–Bwana κατ’ katika ὄναρ ndoto ἐφάνη alimtokea αὐτῷ, kwake λέγων, akisema Ἰωσὴφ, Iōsḗph υἱὸς mwana Δαυίδ, wa–Daudí μὴ usi φοβηθῇς ogope παραλαβεῖν kumchukua Μαρίαν María τὴν – γυναῖκά mke σου; wako τὸ kile γὰρ kwa–maana ἐν ndani αὐτῇ yake γεννηθὲν, kilichozaliwa ἐκ kutoka–kwa Πνεύματός Roho ἐστιν ni Ἁγίου. Mtakatifu
Lakini mara alipoazimu kufanya jambo hili, malaika wa Bwana akamtokea katika ndoto na kusema, “Yosefu mwana wa Daudi, usiogope kumchukua Maria awe mke wako, kwa maana mimba aliyo nayo ni kwa uweza wa Roho Mtakatifu.
21 τέξεται atazaa δὲ na υἱὸν, mwana καὶ na καλέσεις utamwita τὸ – ὄνομα jina αὐτοῦ lake Ἰησοῦν; Iēsoûs αὐτὸς yeye γὰρ kwa–maana σώσει atawaokoa τὸν – λαὸν watu αὐτοῦ wake ἀπὸ kutoka τῶν – ἁμαρτιῶν dhambi αὐτῶν. zao
Naye atamzaa mwana, nawe utamwita Jina lake Yesu, kwa maana yeye ndiye atakayewaokoa watu wake kutoka dhambi zao.”
22 Τοῦτο Hili δὲ na ὅλον lote γέγονεν, limetokea ἵνα ili πληρωθῇ litimizwe τὸ lile ῥηθὲν lililosemwa ὑπὸ na Κυρίου Bwana διὰ kupitia τοῦ – προφήτου, nabii λέγοντος, akisema
Haya yote yalitukia ili litimie lile Bwana alilokuwa amenena kupitia nabii, akisema:
23 Ἰδοὺ, Tazama ἡ – παρθένος bikira ἐν katika γαστρὶ tumbo ἕξει, atakuwa–na–mimba καὶ na τέξεται atazaa υἱόν, mwana καὶ na καλέσουσιν watamwita τὸ – ὄνομα jina αὐτοῦ lake Ἐμμανουήλ, Emmanoúēl ὅ ambalo ἐστιν ni μεθερμηνευόμενον, likitafsiriwa Μεθ’ Pamoja–nasi ἡμῶν sisi ὁ – Θεός. Mungu
“Tazama, bikira atachukua mimba, naye atamzaa mwana, nao watamwita Jina lake Imanueli”: maana yake, “Mungu pamoja nasi.”
24 ἐγερθεὶς akiamka δὲ na ὁ – Ἰωσὴφ Iōsḗph ἀπὸ kutoka τοῦ – ὕπνου, usingizi ἐποίησεν alifanya ὡς kama προσέταξεν alivyomwagiza αὐτῷ yeye ὁ – ἄγγελος malaika Κυρίου, wa–Bwana καὶ na παρέλαβεν akamchukua τὴν – γυναῖκα mke αὐτοῦ, wake
Yosefu alipoamka kutoka usingizini, akafanya kama vile alivyoagizwa na malaika wa Bwana, akamchukua Maria kuwa mke wake.
25 καὶ na οὐκ haku ἐγίνωσκεν mjua αὐτὴν yeye ἕως hadi οὗ wakati ἔτεκεν alipozaa υἱόν; mwana καὶ na ἐκάλεσεν akamwita τὸ – ὄνομα jina αὐτοῦ lake Ἰησοῦν. Iēsoûs
Lakini hawakukutana kimwili mpaka Maria alipojifungua mwanawe kifungua mimba akamwita Jina lake Yesu.