1 Παρακαλῶ Ninawasihi οὖν basi ὑμᾶς, ninyi, ἀδελφοί, ndugu, διὰ kwa τῶν – οἰκτιρμῶν huruma τοῦ za– Θεοῦ, Mungu, παραστῆσαι mtolee τὰ – σώματα miili ὑμῶν yenu θυσίαν dhabihu ζῶσαν, iliyo–hai, ἁγίαν, takatifu, «τῷ kwa– Θεῷ»⇔, Mungu εὐάρεστον, ya–kupendeza, τὴν – λογικὴν ya–akili λατρείαν ibada ὑμῶν. yenu.
Kwa hiyo, ndugu zangu, nawasihi kwa rehema zake Mungu, itoeni miili yenu iwe dhabihu iliyo hai, takatifu na inayompendeza Mungu, hii ndiyo ibada yenu yenye maana.
2 καὶ na μὴ msi συσχηματίζεσθε fuate–mfano–wa τῷ – αἰῶνι ulimwengu τούτῳ, huu, ἀλλὰ bali μεταμορφοῦσθε mgeuzwe τῇ kwa– ἀνακαινώσει kufanywa–upya τοῦ kwa– νοός, akili, εἰς ili τὸ – δοκιμάζειν mpate–kujua ὑμᾶς, ninyi, τί nini τὸ – θέλημα mapenzi τοῦ ya– Θεοῦ, Mungu, τὸ – ἀγαθὸν, yaliyo–mema, καὶ na εὐάρεστον, ya–kupendeza, καὶ na τέλειον. makamilifu.
Msifuatishe tena mfano wa ulimwengu huu, bali mgeuzwe kwa kufanywa upya nia zenu. Ndipo mtaweza kuonja na kuhakikisha ni nini mapenzi ya Mungu yaliyo mema, yanayopendeza machoni pake na ukamilifu.
3 Λέγω Ninasema γὰρ kwa–maana διὰ kwa τῆς – χάριτος neema τῆς – δοθείσης niliyopewa μοι, mimi, παντὶ kwa–kila τῷ – ὄντι aliye ἐν miongoni ὑμῖν, mwenu, μὴ msi ὑπερφρονεῖν jifikirie–juu παρ’ zaidi–ya ὃ ya–hivyo δεῖ inavyopasa φρονεῖν; kufikiri; ἀλλὰ bali φρονεῖν kufikiri εἰς kwa τὸ – σωφρονεῖν, kiasi, ἑκάστῳ kwa–kila–mtu ὡς kama ὁ – Θεὸς Mungu ἐμέρισεν alivyomgawia μέτρον kipimo πίστεως. cha–imani.
Kwa ajili ya neema niliyopewa nawaambia kila mmoja miongoni mwenu, asijidhanie kuwa bora kuliko impasavyo, bali afikiri kwa busara kwa kulingana na kipimo cha imani Mungu aliyompa.
4 καθάπερ kama γὰρ, kwa–maana, ἐν katika ἑνὶ mwili–mmoja σώματι mwili πολλὰ viungo–vingi μέλη viungo ἔχομεν, tunayo, τὰ – δὲ na μέλη viungo πάντα vyote οὐ si τὴν – αὐτὴν ile–ile ἔχει vina πρᾶξιν; kazi;
Kama vile katika mwili mmoja tulivyo na viungo vingi, navyo viungo vyote havina kazi moja,
5 οὕτως hivyo οἱ – πολλοὶ, wengi, ἓν mwili–mmoja σῶμά mwili ἐσμεν sisi ἐν katika Χριστῷ; Kristo; τὸ – δὲ na καθ’, kila–mmoja, εἷς mmoja ἀλλήλων viungo–kwa–kila–mwingine μέλη, viungo,
vivyo hivyo na sisi tulio wengi, tu mwili mmoja katika Kristo, nasi kila mmoja ni kiungo cha mwenzake.
6 ἔχοντες tukiwa–na δὲ na χαρίσματα karama κατὰ kwa τὴν – χάριν neema τὴν – δοθεῖσαν tuliyopewa ἡμῖν sisi διάφορα: tofauti: εἴτε iwe προφητείαν, unabii, κατὰ kwa τὴν – ἀναλογίαν kipimo τῆς cha– πίστεως; imani;
Tuna karama zilizotofautiana kila mmoja kutokana na neema tuliyopewa. Kama ni unabii na tutoe unabii kwa kadiri ya imani.
7 εἴτε iwe διακονίαν, huduma, ἐν katika τῇ – διακονίᾳ; huduma; εἴτε iwe ὁ – διδάσκων, anayefundisha, ἐν katika τῇ – διδασκαλίᾳ; kufundisha;
Kama ni kuhudumu na tuhudumu, mwenye kufundisha na afundishe,
8 εἴτε iwe ὁ – παρακαλῶν, anayeonya, ἐν katika τῇ – παρακλήσει; kuonya; ὁ – μεταδιδοὺς, anayegawa, ἐν kwa ἁπλότητι; ukarimu; ὁ – προϊστάμενος, anayeongoza, ἐν kwa σπουδῇ; bidii; ὁ – ἐλεῶν, anayehurumia, ἐν kwa ἱλαρότητι. furaha.
kama ni kutia moyo na atie moyo, kama ni kuchangia kwa ajili ya mahitaji ya wengine na atoe kwa ukarimu, kama ni uongozi na aongoze kwa bidii, kama ni kuhurumia wengine na afanye hivyo kwa furaha.
9 ἡ – ἀγάπη Upendo ἀνυπόκριτος. usio–na–unafiki. ἀποστυγοῦντες Mkichukia τὸ – πονηρόν; uovu; κολλώμενοι mkishikamana–na τῷ – ἀγαθῷ; wema;
Upendo lazima usiwe na unafiki. Chukieni lililo ovu, shikamaneni na lililo jema.
10 τῇ kwa– φιλαδελφίᾳ upendo–wa–kindugu εἰς, kwa, ἀλλήλους kila–mmoja φιλόστοργοι; wenye–huruma; τῇ kwa– τιμῇ, heshima, ἀλλήλους kila–mmoja προηγούμενοι; mkitanguliana;
Pendaneni ninyi kwa ninyi kwa upendo wa ndugu. Waheshimuni na kuwatanguliza wengine.
11 τῇ kwa– σπουδῇ, bidii, μὴ msi ὀκνηροί wavivu; τῷ kwa– πνεύματι, roho, ζέοντες; mkiwa–na–joto; τῷ kwa– Κυρίῳ Bwana δουλεύοντες. mkimtumikia.
Msiwe wavivu, bali mwe na bidii katika roho mkimtumikia Bwana.
12 τῇ kwa– ἐλπίδι, tumaini, χαίροντες; mkifurahi; τῇ kwa– θλίψει, dhiki, ὑπομένοντες; mkivumilia; τῇ kwa– προσευχῇ, maombi, προσκαρτεροῦντες. mkidumu.
Kuweni na furaha katika tumaini, katika dhiki kuweni na saburi, dumuni katika maombi.
13 ταῖς kwa– χρείαις mahitaji τῶν ya– ἁγίων watakatifu κοινωνοῦντες, mkishiriki, τὴν – φιλοξενίαν ukarimu διώκοντες. mkifuata.
Changieni katika mahitaji ya watakatifu, wakaribisheni wageni.
14 εὐλογεῖτε wabarikieni τοὺς – διώκοντας wanaowatesa [ὑμᾶς]; ninyi; εὐλογεῖτε barikieni καὶ na μὴ msi καταρᾶσθε. laani.
Wabarikini wale wanaowatesa, barikini wala msilaani.
15 χαίρειν furahini μετὰ pamoja–na χαιρόντων, wanaofurahi, κλαίειν lieni μετὰ pamoja–na κλαιόντων; wanaolia;
Furahini pamoja na wenye kufurahi, lieni pamoja na wale waliao.
16 τὸ – αὐτὸ yale–yale εἰς kwa ἀλλήλους kila–mmoja φρονοῦντες, mkifikiri, μὴ msi τὰ – ὑψηλὰ vya–juu φρονοῦντες, fikiri, ἀλλὰ bali τοῖς na– ταπεινοῖς wanyenyekevu συναπαγόμενοι. mkiambatana. μὴ Msi γίνεσθε we φρόνιμοι wenye–hekima παρ’ machoni ἑαυτοῖς. mwenu.
Kaeni kwa amani ninyi kwa ninyi. Msijivune, bali mwe tayari kushirikiana na wanyonge. Wala msiwe watu wenye kujivuna kwamba mnajua kila kitu.
17 μηδενὶ kwa–mtu–yeyote κακὸν ubaya ἀντὶ badala–ya κακοῦ ubaya ἀποδιδόντες, msilipe, προνοούμενοι mkitangulia καλὰ mema ἐνώπιον mbele–ya πάντων watu–wote ἀνθρώπων. watu.
Msimlipe mtu yeyote ovu kwa ovu. Jitahidini ili mtende yaliyo mema machoni pa watu wote.
18 εἰ ikiwa δυνατόν inawezekana τὸ – ἐξ kadiri–inavyowezekana ὑμῶν, kwenu, μετὰ na πάντων watu–wote ἀνθρώπων watu εἰρηνεύοντες; mkiwa–na–amani;
Kama ikiwezekana, kwa upande wenu kaeni kwa amani na watu wote.
19 μὴ msi ἑαυτοὺς wenyewe ἐκδικοῦντες, jilipize–kisasi, ἀγαπητοί, wapendwa, ἀλλὰ bali δότε mpeni τόπον nafasi τῇ kwa– ὀργῇ; ghadhabu; γέγραπται imeandikwa γάρ, kwa–maana, Ἐμοὶ Kwangu ἐκδίκησις. kisasi. ἐγὼ Mimi ἀνταποδώσω, nitalipa, λέγει asema Κύριος. Bwana.
Wapendwa, msilipize kisasi, bali ipisheni ghadhabu ya Mungu, maana imeandikwa: “Ni juu yangu kulipiza kisasi, nitalipiza,” asema Bwana.
20 ἀλλὰ bali ἐὰν ikiwa πεινᾷ ana–njaa ὁ – ἐχθρός adui σου, wako, ψώμιζε mlishe αὐτόν; yeye; ἐὰν ikiwa διψᾷ, ana–kiu, πότιζε mnyweshe αὐτόν; yeye; τοῦτο hivi γὰρ kwa–maana ποιῶν, kwa–kufanya, ἄνθρακας makaa πυρὸς ya–moto σωρεύσεις utakusanya ἐπὶ juu–ya τὴν – κεφαλὴν kichwa αὐτοῦ. chake.
Badala yake: “Kama adui yako ana njaa, mlishe; kama ana kiu, mpe kinywaji. Kwa kufanya hivyo, unaweka makaa ya moto yanayowaka kichwani pake.”
21 μὴ Usi νικῶ shindwe ὑπὸ na τοῦ – κακοῦ, uovu, ἀλλὰ bali νίκα shinda ἐν kwa τῷ – ἀγαθῷ wema τὸ – κακόν. uovu.
Usishindwe na ubaya, bali uushinde ubaya kwa wema.