1 Τοῦτο Hili δὲ lakini γίνωσκε, jua ὅτι kwamba ἐν katika ἐσχάταις za–mwisho ἡμέραις siku ἐνστήσονται zitakuja καιροὶ nyakati χαλεποί; ngumu
Lakini yakupasa ufahamu jambo hili, kwamba siku za mwisho kutakuwa na nyakati za hatari.
2 ἔσονται watakuwa γὰρ kwa–maana οἱ – ἄνθρωποι wanadamu φίλαυτοι, wapenda–nafsi φιλάργυροι, wapenda–fedha ἀλαζόνες, wajisifu ὑπερήφανοι, wenye–kiburi βλάσφημοι, wakufuru γονεῦσιν kwa–wazazi ἀπειθεῖς, wasiotii ἀχάριστοι, wasio–na–shukrani ἀνόσιοι, wasio–na–utakatifu
Kwa maana watu watakuwa wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda fedha, wenye kujisifu, wenye kiburi, wenye kumkufuru Mungu, wasiotii wazazi wao, wasio na shukrani, wasio watakatifu,
3 ἄστοργοι, wasio–na–upendo ἄσπονδοι, wasio–na–maridhiano διάβολοι, wasingiziaji ἀκρατεῖς, wasio–na–kiasi ἀνήμεροι, wakatili ἀφιλάγαθοι, wasiopenda–jema
wasio na upendo, wasiopenda kupatanishwa, wasingiziaji, wasiozuia tamaa zao, wakatili, wasiopenda mema,
4 προδόται, wasaliti προπετεῖς, wasiojali τετυφωμένοι, waliojaa–kiburi φιλήδονοι wapenda–starehe μᾶλλον badala–ya ἢ kuliko φιλόθεοι; wapenda–Mungu
wasaliti, wakaidi, waliojaa majivuno, wapendao anasa zaidi kuliko kumpenda Mungu:
5 ἔχοντες wakiwa–na μόρφωσιν sura εὐσεβείας, ya–uchaji–Mungu τὴν – δὲ lakini δύναμιν nguvu αὐτῆς yake ἠρνημένοι. wakiikana καὶ na τούτους hawa ἀποτρέπου. waepuke
wakiwa na mfano wa utauwa kwa nje, lakini wakizikana nguvu za Mungu. Jiepushe na watu wa namna hiyo.
6 ἐκ kutoka τούτων kwa–hawa γάρ, kwa–maana εἰσιν ni οἱ – ἐνδύνοντες wanaopenyeza εἰς katika τὰς – οἰκίας, nyumba καὶ na αἰχμαλωτίζοντες kuwahadaa γυναικάρια, wanawake–wajinga σεσωρευμένα waliojazana ἁμαρτίαις, dhambi ἀγόμενα wanaongozwa ἐπιθυμίαις tamaa ποικίλαις, mbalimbali
Miongoni mwao wamo wale wajiingizao katika nyumba za watu na kuwachukua mateka wanawake wajinga, waliolemewa na dhambi zao na kuyumbishwa na aina zote za tamaa mbaya.
7 πάντοτε daima μανθάνοντα, wanaojifunza καὶ na μηδέποτε kamwe εἰς katika ἐπίγνωσιν maarifa ἀληθείας ya–ukweli ἐλθεῖν kufika δυνάμενα. wanaoweza
Wakijifunza siku zote lakini kamwe wasiweze kufikia ujuzi wa kweli.
8 ὃν kama τρόπον jinsi δὲ lakini Ἰάννης Yane καὶ na Ἰαμβρῆς Yambre ἀντέστησαν waliompinga Μωϋσεῖ, Musa οὕτως vivyo–hivyo καὶ pia οὗτοι hawa ἀνθίστανται wanaupinga τῇ – ἀληθείᾳ, ukweli ἄνθρωποι watu κατεφθαρμένοι walio–na–akili–zilizoharibika τὸν – νοῦν, – ἀδόκιμοι wasio–na–kukubalika περὶ kuhusu τὴν – πίστιν. imani
Kama vile Yane na Yambre walivyopingana na Mose, vivyo hivyo watu hawa hupingana na ile kweli. Hawa ni watu wenye akili zilizopotoka, ambao wamekataliwa kwa mambo ya imani.
9 ἀλλ’ lakini οὐ hawata– προκόψουσιν endelea ἐπὶ zaidi πλεῖον, – ἡ – γὰρ kwa–maana ἄνοια upumbavu αὐτῶν wao ἔκδηλος dhahiri ἔσται utakuwa πᾶσιν, kwa–wote ὡς kama καὶ pia ἡ – ἐκείνων wale ἐγένετο. ulivyokuwa
Lakini hawataendelea sana, kwa sababu upumbavu wao utakuwa dhahiri kwa watu wote, kama ulivyokuwa dhahiri upumbavu wa hao watu wawili.
10 Σὺ Wewe δὲ lakini παρηκολούθησάς umefuata μου yangu τῇ – διδασκαλίᾳ, mafundisho τῇ – ἀγωγῇ, mwenendo τῇ – προθέσει, kusudi τῇ – πίστει, imani τῇ – μακροθυμίᾳ, uvumilivu τῇ – ἀγάπῃ, upendo τῇ – ὑπομονῇ, ustahimilivu
Lakini wewe umeyajua mafundisho yangu, mwenendo, makusudi, imani, uvumilivu, upendo, ustahimilivu,
11 τοῖς – διωγμοῖς, mateso τοῖς – παθήμασιν: maumivu οἷά yaliyonipata μοι mimi ἐγένετο – ἐν huko Ἀντιοχείᾳ, Antiokia ἐν huko Ἰκονίῳ, Ikonio ἐν huko Λύστροις; Listra οἵους mateso–namna–gani διωγμοὺς – ὑπήνεγκα; nilivumilia καὶ na ἐκ kutoka πάντων, yote με mimi ἐρρύσατο aliniokoa ὁ – Κύριος. Bwana
mateso na taabu, yaani mambo yote yaliyonipata huko Antiokia, Ikonio na Listra, mateso yote niliyostahimili, lakini Bwana aliniokoa katika hayo yote.
12 καὶ na πάντες wote δὲ, lakini οἱ – θέλοντες wanataka ζῆν⇔ kuishi εὐσεβῶς kwa–kumcha–Mungu ἐν katika Χριστῷ Kristo Ἰησοῦ, Yesu διωχθήσονται. watateswa
Naam, yeyote anayetaka kuishi maisha ya utauwa ndani ya Kristo Yesu atateswa.
13 πονηροὶ waovu δὲ lakini ἄνθρωποι watu καὶ na γόητες wadanganyifu προκόψουσιν wataendelea ἐπὶ kwa τὸ – χεῖρον, baya–zaidi πλανῶντες wakidanganya καὶ na πλανώμενοι. wakidanganywa
Lakini watu waovu na wadanganyaji watazidi kuwa waovu, wakidanganya na kudanganyika.
14 σὺ wewe δὲ lakini μένε endelea ἐν katika οἷς yale ἔμαθες, uliyojifunza καὶ na ἐπιστώθης, uliyosadiki εἰδὼς ukijua παρὰ kutoka τίνων kwa–nani ἔμαθες; ulijifunza
Bali wewe, udumu katika yale uliyojifunza na kuyaamini kwa uthabiti, ukitambua ya kuwa ulijifunza hayo kutoka kwa nani,
15 καὶ na ὅτι kwamba ἀπὸ tangu βρέφους utoto [τὰ] – ἱερὰ takatifu γράμματα maandiko οἶδας, unayajua τὰ – δυνάμενά yanayoweza σε wewe σοφίσαι kukupa–hekima εἰς kwa σωτηρίαν, wokovu διὰ kwa πίστεως, imani τῆς – ἐν iliyo–katika Χριστῷ Kristo Ἰησοῦ. Yesu
na jinsi ambavyo tangu utoto umeyajua Maandiko matakatifu, ambayo yanaweza kukuhekimisha upate wokovu kwa njia ya imani katika Kristo Yesu.
16 πᾶσα yote γραφὴ Maandiko θεόπνευστος yaliyovuviwa–na–Mungu καὶ na ὠφέλιμος yanafaa πρὸς kwa διδασκαλίαν, mafundisho πρὸς kwa ἐλεγμόν, kukemea πρὸς kwa ἐπανόρθωσιν, kurekebisha πρὸς kwa παιδείαν kuadibisha τὴν – ἐν katika δικαιοσύνῃ, haki
Kila Andiko limevuviwa na Mungu na lafaa kwa mafundisho, kwa kuwaonya watu makosa yao, kwa kuwaongoza na kwa kuwafundisha katika haki,
17 ἵνα ili ἄρτιος kamili ᾖ awe ὁ – τοῦ wa– Θεοῦ Mungu ἄνθρωπος, mtu πρὸς kwa πᾶν kila ἔργον tendo ἀγαθὸν jema ἐξηρτισμένος. aliyekamilishwa
ili mtu wa Mungu awe amekamilishwa, apate kutenda kila kazi njema.